Unaweza kuwa yoyote. na kupata chochote mwenye maisha

Karibu

Kuhusu sisi

Miaka kadhaa iliyopita, nilihangaika sana kwenye mahusiano pamoja na suala zima la mafanikio ya kifedha.
Kuna aina ya mahusiano nilikuwa nayawaza kichwani na nilitamani sana yatokee kwenye maisha yangu hivyo nikawa natumia nguvu kubwa sana kumfanya mwenzi wangu anielewe, awe vile nitakavyo na anipatie upendo huo niliokuwa na utamani ila sikupata mafanikio bali mambo yalazidi kuwa mabaya.Nilitamani pia kuwa na uhuru wa kifedha niweze kununua mahitaji yangu,niwekeze na kuishi maisha ya ndoto zangu ila ilikuwa ngumu sana hadi nilikata

Masomo Yangu

Haya ni baadhi ya masomo yanayopendwa sana na watu wengi.

No courses were found to match your selection.

Ushauri zaidi

Ni zaidi ya watanzania 3000 wameweza kusoma na kujifunza kutoka kwangu, Najivunia kuwa miongoni mwa watu ninaweka mchango mkubwa sasa kwenye jamii kwenye ushauri wa Maisha, Ndoa na Mahusiano.

Shuhuda

y10.png

Lily anasema....

"Mpenzi wangu alibadilika sana nikawa .mimi ndio wa kumpigia simu na kumbembeleza tuonane, mara nyingi nilikuwa namwambia ninampenda yeye akawa anajibu asante na wakati mwingine hajibu kabisa ilinitesa sana kwa vile nilikuwa nimeshawekeza sana upendo wangu kwake na yeve akawa hanijali tena ila nilipopata ushauri wa Nina na kuufuata kwa kweli mambo yalibadilika, kwanza nafsi yangu ilipona nikaanza kujiona mwenye thamani sana na mpenzi wangu alijirudi sasa tunapendana sana namshukuru Mungu"

y12.png

Jack Anasema...

"sikupenda alipopanga ikabidi nilipie apartment ya laki tatu na nusu kwa mwezi, nikawa nampa pesa za matumizi,nilimjali sana na aliniambia mimi na yeye kukutana kimwili ni mpaka ndoa na niliheshimu hilo sikutaka kabisa kumkosea niliendelea kumjali.Siku moja aliniambia nisimtafute kwenye simu kwa sababu yeye na mpenzi wake wamerudiana na anakuja kumtembelea hivyo nisifike anapokaa,iliniuma sana ukitarajia nimeshawekeza wake pesa zangu sana. Katika kutafuta msaada mtandaoni ndipo nikakutana na ukurasa wa Nina.

y10.png

Annita Anasema..

“Habari yako da nina unaikumbuka hii post ulipost wewe mimi huwa natembelea page yako mara nyingi ila nilikuwa naona shuhuda za watu na mimi nikatamani pia initokee.Nilipoiona post ya kujitamkiakiasi chochote ambacho naamini naweza kukipata ndani ya siku 7, kwa moyo wangu wote nikaamini na kucomment kuwa naweza kupata milioni 2. Huwezi amini kuna mtu nilimuomba milioni 2 tangu mwezi wa 12 ila kanitafuta yeye mwenyewe na kuniambia atanipa milioni 1 halafu itakayobakia atanipa mwezi ujao, huwezi amini leo kanipa kama alivyo ahidi hiyo pesa na kuna mtu mwingine leo kanipa laki 2.Nimeamini imani ndio kila kitu”

Unahitaji Msaada?
Wasiliana nasi hapa 👇